Kuhusu blog hii
Blog hii ya vijana karismatiki katoliki mwanza ni kwa ajili ya kuweka taarifa na matukio mbalimbali yanayohusu huduma ya vijana karismatiki katoliki,vijana kwa ujumla,kanisa na habari na matukio yoyote yale yenye kuhitaji kuwafikia watu mbalimbali yenye kumpa Mungu utukufu.
Niwakaribishe katika blog hii,muweze kuitembelea mara kwa mara ili kupata taarifa na mafundisho Mungu anayotaka tuyapate yatakayotusaidia katika safari yetu ya hapa duniani kutenda yaliyo yake Mungu kwa utukufu wa jina lake sawasawa na mapenzi na makusudi yake.
MUNGU ATUBARIKI SOTE.
Subscribe to:
Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment